BUOMS-JUHUDI

Business & Office Management System (BUOMS) ni mfumo wa kidijitali unaopatikana kupitia mtandao (web-based application) uliobuniwa kwa ajili ya kusimamia biashara, bidhaa, wafanyakazi, wateja pamoja na shughuli zote za kiofisi kwa ufanisi mkubwa.

FAIDA ZA HUU MFUMO

  • Kuongeza Ufanisi wa Kazi
  • Kupunguza Makosa ya Kibinadamu
  • Kuondoa/Kupuguza Upotevu wa Mapato na Bidhaa
  • Ufuatiliaji Sahihi wa Mapato na Matumizi
  • Ripoti za Wakati Halisi (Real-Time Reports)
  • Kurahisisha Mawasiliano ya Ndani
  • Kuongeza Usalama wa Taarifa
  • Kuongeza Uaminifu kwa Wateja
  • Kuwezesha Ukuaji wa Biashara

  • Designed by Mashilingi IT Expert Co.LTD

Weka Username NA Password Kuendelea..

KARIBU! JUHUDI DECORATIONS & AUTO SPARE PARTS, WAUZAJI WA JUMLA NA REJAREJA
Hakikisha taarifa zako ni sahihi kabla ya kuingia